September 14, 2011

SURUALI YA BOB JUNIOR YACHANIKA JUKWAANI

Hi | 12:49:00 PM |
 Katika hali isiyo ya kawaida kijana Mtanashati(Sharobaro) Bob Junior alionekana jukwaani akiburudisha watu huku suruali yake ikiwa na tobo katikati ya mapaja kama inavyoonekana pichani
Wachambuzi wa mambo yakichokonozi wanadai kuwa inawezekana alipanda ukwaani huku ikiwa imechanika ama ilichanika wakati akikata mauno kwani mzunguko wa uno moja la kijana huyo ni zaidi ya binti akikatika.
Aidha wadodosaji wa habari za udaku wamesema suruali hiyo huenda ilikuwa feki kiasi cha kushindwa kuhimili kasi na mbimbiriko wa mizungusho ya mauno ya kijana huyo.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster